Trump atoka hospitali, arejea Ikulu ya Marekani// DR Congo- Rais Tshisekedi afanya ziara Goma, Ziara yake inatokea katikati ya mauaji yanayofanywa na waasi// Mkutano wa kwanza wa mawaziri wa UAE na Israel mjini Berlin// Maelfu waandamana Kyrgyzstan huku matokeo ya bunge yakifutwa.