1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2019 - Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Oktoba 2019

Vikosi vya usalama vimewauwa zaidi ya watu 100 katika maandamano ya siku 5 nchini Iraq. Makumi kwa Maeflu ya watu washiriki maandamano ya kudai demokrasia mjini Hong Kong. Korea Kaskazini imesema mazungumzo yake na Marekani kuhusu Nyuklia yamevunjika

https://p.dw.com/p/3QnUA