Kamati ya Tuzo ya Nobeli iliyoko Oslo, Norway, imemtangaza mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobeli wa mwaka huu// Rais wa Marekani, Donald Trump anapanga kuuvunja mkataba wa kimataifa wa nuclear na Iran// Mataifa ya Umoja wa Ulaya yanachukua hatua ya kutoa mbinyo kwa wakimbizi kutoka Afghanistan.