Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema leo kwamba Wayemeni watawafanya wale wanaoishambulia nchi yao wajutie vitendo vyao// Mswada wa sheria mpya ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo umepitishwa bungeni mjini Kinshasa bila ya kuweko wabunge wa upinzani.