Deutsche Welle yaadhimisha miaka 65// Gumzo kuhusu pendekezo la kuifanyia marekebisho katiba mpya ya Kenya ambayo imewahudumia raia wa nchi hiyo kwa takriban miaka minane sasa, limeshika kasi// Vijana wanaharakati wanaopigania mageuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi wameshiriki katika kongamano lililofanyika katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin,