Benki kuu ya Tanzania BOT, imewatoa hofu wananchi na wawekezaji kuhusiana na uendeshaji wa mabenki nchini humo// Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia jana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Kinshasa, imeuwa watu 37// Maandamano ya kuiunga mkono serikali ya Iran yanatarajiwa kufanyika mjini Tehran leo.