1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

04.11.2020 - Matangazo ya Asubuhi

4 Novemba 2020

Rais Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden wanachuana vikali katika uchaguzi nchini Marekani. Austria imesema mshambuliaji wa mjini Vienna alikuwa mfuasi wa Itikadi kali. Waziri Mkuu wa Ethiopia ataka jeshi la nchi hiyo kulipa kisasi kwa shambulizi kwenye kambi yake.

https://p.dw.com/p/3kq6D