Mzozo wa jimbo la Catalonia linalotaka kujitenga na Uhispania umechukua sura mpya, baada ya mfalme Felipe VI wa nchi hiyo kulihutubia taifa// Hatimaye tume huru inayosimamia uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC ilifaulu kukutana na viongozi wa Jubilee na muungano wa upinzani NASA kwa majadiliano.