Viongozi wa jimbo la Catalonia wanaotaka kujitenga na Uhispania, wamesema hakuna njia nyingine mbadala zaidi ya kupata uhuru wao// Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh wana wasiwasi iwapo watapata nafasi tena ya kurejea nyumbani nchini Myanmmar.