Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Heiko Maas yuko ziarani nchini Tanzania// Waandishi habari na wakosoaji wa serikali nchini Msumbiji wameendelea kukumbana na mateso na unyanyasaji kama vile kutekwa, kupigwa, kupewa vitisho na hata kupigwa risasi.