Mnamo tarehe 4, mwezi Aprili mwaka 1968, vuguvugu la kupigania haki za kiraia nchini Marekani lilimpoteza kiongozi wao mkuu, Martin Luther King Jr.// Hatima ya Seif al Islam, mwana wa aliyekuwa kiongozi wa Libya, Muammar Gadhafi haijulikani, mwaka mmoja baada ya waasi wa Libya kutangaza kuwa wamemuachia huru.