Umoja wa mataifa umesema mpango wa dharura wa kuwaondoa wakimbizi walio katika magereza hatari nchini Libya umesimama// Umoja wa Mataifa umeitaja Jamhuri ya Afrika ya Kati kuwa taifa la pili duniani lenye kiwango kikubwa cha ndoa za utotoni// Wakulima wanaoishi katika eneo lililokumbwa na ukame la Laikipia wameamua kugeukia kilimo cha majani ya chai kuimarisha kipato chao.