Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier leo anatarajiwa kukutana na Rais Hassan Rouhani mjini Teheran katika juhudi za kusuluhisha mzozo baina ya Iran na Saudi Arabia// Mgonjwa aambukizwa Zika kupitia ngono Marekani// Kesi ya Katanga kusikilizwa Kinshasa