Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema leo kwamba shambulizi dhidi ya kilabu kimoja mjini Istanbul wakati wa mkesha wa mwaka mpya lilinuia kutatiza jamii ya Uturuki// Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kanisa Katoliki limeendelea na kazi ya kukusanya maoni ya namna ya kutekeleza mkataba wa makubaliano ya kisiasa ya amani.