Wabunge wa Kongo hawakushauriwa kuhusu kutumwa kwa majeshi ya Uganda+++Uingereza leo imeidhinisha dawa mpya ya kutibu maradhi ya covid-19 ambayo wataalamu wake wanasema inaweza kuwa na ufanisi wa kukabiliana na aina mpya ya kirusi cha corona Omicron+++Iran yaongeza urutubishaji wa madini ya urani wakati mazungumzo ya nyuklia yakiendelea.