1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

02.11.2020 - Taarifa ya Habari ya Asubuhi

2 Novemba 2020

Rais Mteule wa visiwa vya Zanzibar anaapishwa leo. Mkurugenzi wa WHO ajiweka karantini baada ya kukutana na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya corona. Rais Donald Trump na hasimu wake Joe Biden wachuana kabla ya uchaguzi mkuu kesho Jumanne.

https://p.dw.com/p/3kk4o