Uganda: Wimbi jipya la maambukizi ya COVID-19 latishia shughuli za elimu /Kampuni ya Pfizer yatarajiwa kutengeza dawa za kuzuia kuenea kwa virusi vya COVID-19/ Chama cha Wakimbizi wa Rwanda nchini Msumbiji chalaani kutoweka kwa mwandishi wa habari Ntamuhanga Cassien/ Majeshi duniani yatakiwa kupunguza utoaji wa gesi ya kaboni/ Wanasiasa na maafisa wa Tunisia waaonya kuhusu uchumi kuporomoka