Taarifa ya kifo cha mwenyekiti wa kampuni za IPP nchini Tanzania Reginald Mengi imehuzunisha wengi nchini humo// Uganda- Mwanasiasa na msanii Robert Kyagulanyi kaachiwa kutoka gerezani// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel, ameutetea Msimamo wa nchi yake wa kudhibiti usambazaji wa silaha katika ukanda wa Sahel, akisema kufanya hivyo kutazifanya kuishia mikononi mwa magaidi.