Iran imeukosoa mpango wa Marekani wa kulioorodhesha kundi la Udugu wa Kiislamu kuwa ni kundi la kigaidi// Rais wa Marekani ameyapiga marufuku kabisa mataifa mengine kununua mafuta ya Iran kuanzia jana Mei Mosi// Msimu wa kiangazi mwaka 2018, Ethiopia na Eritrea zilitiliana saini makubaliano ya kihistoria ya amani na kufungua mipaka ya nchi hizo mbili.