Vikosi vya Urusi na Syria vimeendeleza mashambulizi katika eneo linalodhibitwa na waasi la Ghouta Mashariki// Marekani imeishutumu Urusi kwa kuvunja mikataba iliyotiwa katika kipindi cha vita baridi// Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia Silvio Berlusconi amempigia chapuo Rais wa Bunge la Umoja wa Ulaya Antonio Tajani kwa kusema ndio chaguo lake katika nafasi ya waziri mkuu wa Italia.