Baraza la usalama kujadili mapinduzi ya Myanmar/ Maoni: Mwisho wa matumaini ya uwongo Myanmar/ Iran: Umoja wa Ulaya usuluhishe mzozo wa nyuklia/ Mjadala juu ya iwapo wakati umewadia kwa mahakama za ngazi ya juu nchini Tanzania kuanza kuandika hukumu kwa lugha hiyo ya taifa badala ya kiingereza