Rais wa Marekani Donald Trump amesema Iran imewekwa katika kile alichokiita "ilani" baada ya jaribio la karibuni la kombora// Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amewasili ikulu ya Uturuki iliyopo mjini Ankara kukutana na Rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdogan// Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inakabiliwa na wasiwasi kuhusu mustakbali wake kufuatia kifo cha Etienne Tshisekedi wa Mulumba.