Mkutano wa kilele uliokutanisha zaidi ya viongozi 80 wa Afrika na Ulaya mjini Abidjan-Cote d´Ivoire, kujadili kuhusu ajira na utulivu barani Afrika umemalizika hapo jana// Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya kupambana na maradhi ya ukimwi, Ugojwa huo umetajwa kupunguwa kwa kiasi kikubwa nchini Burundi.