Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli yuko ziarani nchini Kenya // Katika utafiti uliofanywa na Umoja wa Mataifa, karibu watoto milioni 300 wanaishi kwa kuvuta hewa chafu ambayo inaweza kusababisha madhara makubwa// Afghanistan inadai wanamgambo washukiwa wa kundi la itikadi kali linalojiita Dola la Kiisilamu wamewaua zaidi ya raia 30 katika jimbo la Ghor magharibi mwa nchi hiyo.