Mahakama ya Juu nchini Kenya imebatilisha uchaguzi mkuu wa rais uliofanyikaa tarehe nane, mwezi wa nane mwaka huu// Waislamu wote nchini Tanzania wameungana na wanzao ulimwenguni kuhitimisha ibada ya Hija kwa swala maalum ya Eid// Madaktari wa DRC wako katika mgomo, wakiwa wanadai serikali kuwalipa marupurupu yao.