Leo ni siku ya kuadhimisha miaka 60 tangu Benki kuu ya Ujerumani ilipoanza kazi yake mnamo tarehe 1 mwezi wa Agosti mwaka1957// Tarehe 4 Agosti wananchi nchini Rwanda watapiga kura kumchagua rais wao pamoja na bunge la nchi hiyo// Waasi wa Sudan Kusini wanaongozwa na Dr. Riek Machar wamekanusha madai ya kuwahujumu raia katika maeneo yalio chini yao pamoja na kuwalazimisha vijana kujiunga nao.