Utawala wa Marekani wa rais Donald Trump unakaribia kukamilisha mageuzi ya sera kuhusu makubaliano ya ushirikiano kati ya Marekani na Cuba ambayo yalifanywa kati na rais mstaafu Barrack Obama// Kenya sasa ina reli ya kisasa kabisa ya usafiri wa treni za kasi kutoka mji wa bandari wa Mombasa hadi mji mkuu Nairobi.