Leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha mchango wa wafanyakazi kwenye maendeleo ya kijamii, kitaifa na kimataifa mashuhuri kama Mei Mosi// Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema ana uthibitisho mpya kuhusiana na mpango wa silaha za nyukilia wa Iran// Bunge la Kongo limepitisha msuada wa sheria ya ugawanyaji viti bungeni na kwenye bunge za majimbo.