1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UchumiAfrika

Vita vya Ukraine vyaathiri bei ya bidhaa Tanzania

Daniel Gakuba
31 Machi 2022

Mzozo wa uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine umekuwa na athari katika kila pembe ya dunia, na Afrika Mashariki haijaachwa kando. Mfumko wa bei unaoshuhudiwa katika mataifa ya ukanda huo yana uhusiano wa moja kwa moja na mzozo huo. Ama kweli dunia imegeuka kijiji. Vidio hii ya #Kurunzi inamulika hali ilivyo mjini Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/49Ida