1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UchumiAfrika

Tanzania yafanya majaribio ya treni ya SGR

26 Februari 2024

Tanzania imefanya majaribio ya kwanza ya treni ya mwendo kasi inayotumia umeme kati ya jiji la Dar es Salaam na mkoa jirani wa Morogoro. Mamlaka ya usafiri wa reli TRC inasema itaanza kutoa huduma hiyo kwa ukamilifu kufikia mwezi Julai.

https://p.dw.com/p/4cugb