Ni simulizi za kutia simanzi na kusononesha unapowasikia watoto wakielezea yaliowakuta kutoka kwa watu waliowaamini na kuwategemea. Lakini watu hao wakasaliti imani za watoto hao kwao kwa kuwafanyia vitendo vya kikatili. Ambatana na Hawa Bihoga katika makala hii ya mbiu ya Mnyonge iliyoandaliwa kanda ya Ziwa nchini Tanzania.