1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanawake wanaosifika kufanikiwa katika vita dhidi ya corona duniani

13 Mei 2020

Ni ukweli ulio wazi kabisa kwamba mataifa mengi yanayoongozwa na wanawake ulimwenguni yameonyesha mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya virusi vya corona. Walifanyaje hadi kufika hapo. Makala ya wanawake na maendeleo inakutajia baadhi ya waliofanikiwa zaidi katika vita hivi.

https://p.dw.com/p/3c9bu