Kongamano la kikanda la masuala ya teknolojia na wanawake limemaliozika mjini Nairobi. Mkutano huo ulioandaliwa na Chuo cha mafunzo cha Deutsche Welle- cha mjini Bonn DW- Akademie ulikuwa na lengo la kujadili changamoto zinazoletwa na matumizi ya mitandao kadhalika njia za kujikingika na athari zake.