SiasaViongozi watano wa CHADEMA wafika polisiTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSudi Mnette20.02.201820 Februari 2018Viongozi watano wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania waitikia wito wa polisi nchini humo wakati afisa wa chama hicho aliuwawa akiagwa jijini Dar es Salaam.https://p.dw.com/p/2t18SMatangazo