Wakati serikali za nchi hutoa mikopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu ili waweze kujilipia kodi ya nyumba, kununua chakula na malazi na kukimu mahitaji mengine ya kila siku, wapo wanafunzi wanaotumia fedha hiyo vibaya. Bruce Amani anangalia suala hilo katika Vijana Mchaka Mchaka.