1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Valeria: Nilidhamiria kupambana na umasikini

Veronica Natalis
24 Julai 2024

Valeria Augustin  mkazi wa mji wa Moshi Mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania, ambaye amefanikiwa kutoka  katika umasikini uliokithiri kupitia mradi wa kunusuru kaya maskini  nchini Tanzania TASAF, safari yake yenye milima na mabonde lakini kuna mengi ya kujifunza kupitia jasiri huyu.

https://p.dw.com/p/4igdi