1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni wa Wapokot unavyozuia maendeleo

2 Aprili 2020

Wakio Mbogho anaangazia athari za mila zilizopitwa na wakati za Wapokot waishio Kenya. Mila nyingi huwagandamiza wanawake na kuwabebesha mzigo. Serikali ya Kenya inafanya nini kukwamua hali? Yote hayo katika makala ya Utamaduni na Sanaa.

https://p.dw.com/p/3aLdC