Kwa afya ya kila binadamu ni muhimu kuwa na hewa safi kwenye nyumba, hasa kwenye chumba cha kulala. Hata hivyo, hewa hiyo huweza kuchafuliwa na msongamano wa watu au hata matumizi ya jiko la mkaa. Tatu Karema analiangazia swala hilo katika Afya Yako.