Msikilize Kamishna Mohammed Alawi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) juu ya suintafahamu za kisiasa na kiutendaji katika wakati makamishna wa tume hiyo wakiwa wanatakiwa wawe wameshaondoka kufuatia uamuzi wa tume ya bunge iliyoundwa na wanasiasa kama sehemu ya kutatua mkwamo wa kisiasa kati ya upinzani na serikali nchini humo.