Mganga wa tiba asilia nchini Kenya Bi Njoki Kiarie, anasema tiba ya aina hiyo bado ni muhimu kwa afya ya binadamu, akisema inasaidia mwili kujijengea Kinga na kuepusha madhara yatokanayo na dawa za kisasa. Msikilize halafu utujulishe iwapo unakubaliana naye au la.