JamiiTanzania, Kenya zatajwa ukiukwaji hakiTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiLilian Mtono17.01.201917 Januari 2019Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limezindua ripoti yake ya uangalizi wa haki za binadamu kimataifa na kuonyesha kuporomoka kwa kiasi kikubwa haki za binadamu kwa mataifa ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika.https://p.dw.com/p/3Bj8yMatangazo