Uhispania yagundua mitungi 20 ya gesi katika jengo la wanajihadi waliofanya mashambulizi Barcelona. Merkel aishambulia Uturuki kwa utumiaji mbaya wa waranti ya Shirika la Kimataifa la Polisi – Interpol. Watu 13 wauwawa Jamhuri ya Afrika ya Kati katika mapigano kati ya Seleka na anti-Balaka.