Mioto kadhaa ya misitu bado inaendelea kuwaka katika eneo la Kusini Mashariki mwa Australia, mataifa yanayopakana na Libya yashinikiza kuwa na sauti zaidi katika juhudi za kutamatisha mzozo katika taifa hilo na polisi nchini Ujerumani yasema mshukiwa mmoja wa kundi linalojiita dola la kiislamu na watoto watatu wafurushwa kutoka Uturuki na kuzuiwa katika uwanja wa ndege wa Frankfurt.