Matokeo ya kwanza ya uchaguzi wa Marekani yameanza kutolewa. Wakili aliyekuwa akimtetea mwanamke wa kikristo nchini Pakistan anayetuhumiwa kukufuru dini, aomba hifadhi nchini Uholanzi. Mamilioni ya watu nchini Madagascar leo wanapiga kura kumchagua rais.