SiasaTaarifa ya habari ya Asubuhi 16.11.2017To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaZainab Aziz16.11.201716 Novemba 2017Rais Robert Mugabe azuiliwa nyumbani baada ya jeshi kutwaa mamlaka nchini Zimbabwe. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Rex Tillerson apinga vikwazo vya ujumla dhidi ya Myanmar. Watu 11 wamekufa katika ajali ya ndege nchini Tanzania. https://p.dw.com/p/2nieZMatangazo