Chama cha FDP chaidhinisha makubaliano ya kuunda serikali ya muungano ya Ujerumani. Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI inasema kampuni za utengenezaji silaha zimeongeza faida wakati wa janga la Covid-19. Na tume ya uchaguzi gambia yamtangaza Adama Barrow kuwa mshindi wa kura ya urais.