SiasaTaarifa ya Habari, saa 12:00 Asubuhi 22.05.2018To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaZainab Aziz22.05.201822 Mei 2018Mkutano wa Rais Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un huenda usifanyike. Nchi 14 za kundi la Lima zasema hazitambui kuchaguliwa tena kwa rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Marekani yatangaza vikwazo vikali dhidi ya Iran.https://p.dw.com/p/2y5CiMatangazo