Rais wa Marekani Donald Trump asema hataki vita na Iran baada ya shambulizi kufanywa Saudi Arabia//Mkutano wa kilele kuhusu Syria huko Ankara, waisha bila matokeo yoyote//Na mpasuko wajitokeza katika upinzani Venezuela kutokana na mazungumzo na serikali.