Watu kumi na tano wafariki dunia katika shambulizi la kigaidi huko Nairobi nchini Kenya//Bunge la Uingereza layakataa makubaliano ya Brexit ya Waziri Mkuu May na Umoja wa Ulaya//Na Serikali ya Brazil yawakubalia raia wake kununua silaha za kujitetea na kujilinda.