Libya yakataa wazo la kuwekwa vituo vya mapokezi ya wahamiaji nchini mwake//Waangalizi wa Umoja wa Ulaya waanza kazi nchini Zimbabwe mbele ya uchaguzi wa Julai//Na Shirika la Amnesty International lalaani kitisho dhidi ya uhuru wa kukongamana nchini Poland